Psalms 109:4-5

4 aWanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki,
lakini mimi ninawaombea.
5 bWananilipiza mabaya kwa mema,
chuki badala ya urafiki wangu.
Copyright information for SwhNEN